find what you’re looking for

April 2, 2020

Vice President Visit to Stockholm

The Vice-President Of The United Republic Of Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango Attends Stockholm+50′ Conference Read more…

Fursa Ya Uwekezaji Wa Nyumba Kwa Diaspora

Ubalozi unapenda kuwajulisha kuhusu fursa ya uwekezaji wa nyumba chini ya mradi uitwao Hamidu City Park uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaomilikiwa na Bw. Hamidu Hemed Mvungi, una eneo lenye ukubwa wa ekari 140 ambalo lina nyumba 120 hivi sasa, zinazouzwa kwa gharama ya kuanzia Dola za Kimarekani 57,000 hadi 140,000. Kwa

Taarifa – Wanafunzi Waliopo Mji Wa Sumy Ukraini

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Stockholm Sweden pamoja na Ubalozi wa Jamnuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Moscow Urusi, tunapenda kuwataarifu wanafunzi wa kitanzania walioko kwenye mji wa Sumy nchini Ukraini kwamba kupitia njia za kidiplomasia , Serikali ya Urusi imeridhia wanafunzi walioko Sumy State University kutoka nchini Ukraini kwa kupitia mpaka

Uhakiki – Taarifa Za Kimtandao Na Vyanzo Vyake

NI MUHIMU KUJIRIDHISHA NA TAARIFA KABLA YA KUZITUMIA AU KUZISAMBAZA Katika kipindi hiki cha hali ya hatari inayoendelea nchini Ukraini ni muhimu kwa Watanzania walio katika eneo na mipaka ya nchi hiyo kuwa makini. Epuka kufanya malipo ya fedha kwa ahadi ya huduma za uokoaji au usafiri. Epuka kutoa taarifa au maelezo binafsi ya aina

Dharura Ukraini – Taarifa

TAARIFA KWA WATANZANIA Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Berlin Ujerumani, pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Stockholm Uswidi, tunapenda kuwataarifu watanzania wote wanaotokea Ukraini kuelekea katika mipaka ya magharibi ya nchi hiyo kama ifuatavyo: (1) Tunaendelea kuratibu kwa karibu taarifa za Watanzania wanaotoka Ukraini kuelekea nchi za Poland,

Watanzania Waishio Nchini Ukraine

Kufuatia hali tete ya kiusalama nchini Ukraine, Ubalozi unawashauri watanzania wote waliopo nchini humo hivi sasa kuwa watulivu na kuzingatia miongozo inayotolewa na serikali ya Ukraine. Kwa upande wa wanafunzi kutoka Tanzania wanaosoma nchini Ukraine, Ubalozi unawaomba kuendelea kuzingatia miongozo inayotolewa na vyuo wanavyo soma. Aidha, Ubalozi unaendelea kupokea taarifa za watanzania wote waliopo nchini

Karibu Kwenye Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara

Dear All, Please find enclosed an invitation letter to the celebrations of 60 years of the independence of Tanzania Mainland. Please forward this to your members and Friends of Tanzania. Taarifa zaidi na mipango pia iko kwa KAMATI MAALUMU ya VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA SWEDEN. Karibuni Sana.

Serikali Yapunguza Gharama Za Upimaji Wa UVIKO-19 Kwa Wasafiri

The Government of the United Republic of Tanzania has reviewed the cost of the COVID-19 Test for travelers and decided to reduce the cost from 100USD to 50USD for RT PCR Test. The Government has also reduced the cost of Antigen RAPID TEST to 10USD for air travelers. Also, the cost for Antigen RAPID TEST

East Africa Community Business and Investment Forum 2021

The East African AmbassadorsH.E. Christine Nkulikiyinka, Ambassador for RwandaH.E. Willibrod Slaa, Ambassador for TanzaniaH.E. Nimisha Madhvani, Ambassador for UgandaH.E. Diana Kiambuthi, Ambassador for KenyaAnd the chairman of the board at The Swedish East African Chamber of Commerce, Mr. Jan Furuvald, invites you to save the date, April 27th, for the annual East Africa Community Business

Webinar on Manufacturing and Industrial Investment Opportunities in Tanzania

The Embassy of the United Republic of Tanzania in the Nordic Countries, Baltic States, and Ukraine are planning to hold a webinar on manufacturing and industrial investment opportunities in Tanzania. The webinar will be organized in partnership with the Tanzania Investment Center (TIC), The Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), and the Swedish

TANGAZO – KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KIUHAMIAJI UBALOZINI

Ubalozini unapenda kuwatangazia Watanzania wote waishio katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine kuwa umeanza tena kutoa/kupokea maombi ya Pasipoti mpya za Kielektroniki na huduma nyinginezo za Kiuhamiaji kwa wenye mahitaji ambazo zilisimamishwa tangu tarehe 16/3/2020 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19. Weka mihadi kwa kutma barua pepe consular@tanemb.se

ITV – Dakika 45 na Balozi Dr Slaa

Dr. Willibrod Slaa, balozi wa Tanzania nchini Swiden akifanya mazungumzo na kituo cha televisheni cha ITV, katika kipindi cha dakika 45.

Tanzania Travel Advisory No.1 Of March 23rd 2020

Due to an ongoing outbreak of respiratory illness caused by a novel coronavirus (COVID-19). The Tanzanian government has instituted additional travel measures to limit the spread of the virus to the general public as of 23rd march 2020. All travelers whether foreigners or returning residents arriving form COVID-19 most affected countries will be subjected to

EAC – BUSINESS AND INVESTMENT FORUM, 2020 (EAC-BIF 2020)

An Investment and Business Forum between EAC (East African Community) and SWEACC (Sweden – East Africa Chamber of Commerce) was held on March 12-13, 2020 in Dar-es-Salaam, Tanzania. The forum was a result of efforts by East African ambassadors in Sweden which aimed to encourage Investment and Business between Sweden and East African countries. The

didn't find what you are looking for?

search again