find what you’re looking for

News & Updates

Taarifa Kutoka Kwa Balozi Kwenda Diaspora

Kwa Mwenyekiti TDC Global, Wenyeviti wa Vyama vya Watanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine, na Watanzania wenzangu tulio Ughaibuni. Salamu kwenu wote popote mlipo katika eneo lote la uwakilishi wa Ubalozi wetu. Awali napenda kuwajulisha kuwa nilikuwa Dar-Es-Salaam na Msafara wa Wawekezaji na Wafanyibiashara kutoka baadhi ya nchi ninazoziwakilisha. Napenda kuwajulisha kuwa tulikwenda

Kusitisha Huduma Za Kikonseli Kwa Muda

HUDUMA ZA KIKONSELI ZINAZOPATIKANA UBALOZINI, SWEDEN, ZIMESITISHWA KWA MUDA KAMA SEHEMU YA HATUA ZA TAHADHARI KUTOKANA NA COVID-19 HADI ITAKAPOTANGAZWA TENA!! Wenye matatizo ya Pasipoti na mengineyo waandike barua ya kujieleza kwa kutumia; consular@tanemb.se Soma zaidi hapa

Kusitishwa Kwa Pasipoti za Zamani (Machine Readable Passports)

Raia wa Tanzania mwenye pasi ya zamani hataruhusiwa kusafiri nje lakini anaruhusiwa kurejea nyumbani kwa kutumia pasipoti hiyo baada ya tarehe 1 Februari 2020. Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe:  Makau Makuu Uhamiaji: passporttanzania@immigration.go.tz  au Ubalozi wa Tanzania Sweden: consular@tanemb.se

THE EAC-BUSINESS AND INVESTMENT FORUM – 12-13 MARCH 2020, DAR ES SALAAM, TANZANIA

The EAC-BIF is organised by Embassies from the East African Community (EAC) accredited to the Kingdom of Sweden in partnership with the Swedish-East Africa Chamber of Commerce (SWEACC). The 2020 forum is planned to take place on 12 – 13 March 2020 at SERENA HOTEL in Dar es Salaam, Tanzania under the heading “Green Solutions

Tanzania Hosts a Meeting of Africa -Nordic Foreign Affairs Ministers

Tanzania Hosts a meeting of Africa -Nordic foreign affairs ministers November 8, 2019, in Dar es Salaam. H.E President John Magufuli officiated the meeting. In attendance were five foreign affairs ministers from Sweden, Denmark, Finland, Norway and Iceland who were accompanied by Dr. Willibrod Slaa and other Ambassadors of African countries in the Nordic countries.

NYERERE DAY: HELSINKI – FINLAND 19 October 2019

Tanzanian Diaspora in Finland invites you to Celebrate the Legacy of the Late Mwl. J. K. Nyerere on the 19th October 2019 in Helsinki. There will be a Panel Discussion on the Legacy of Mwl. Nyerere and a presentation of current Investment and Business Opportunities in Tanzania. The Guest of Honour will be H.E Willibrod

SIKU YA KISWAHILI 12 OKTOBA 2019, STOCKHOLM

Mh. Willibrod Slaa, Balozi wa Tanzania Nchi za Nordic na Baltic, anapenda kuwakaribisha Diaspora wa Tanzania, familia na marafiki zao popote walipo katika sherehe ya Siku ya Kiswahili tarehe 12 Oktoba 2019 hapa Stockholm.

No Ebola Outbreak In Tanzania

Tanzanian government has called the head of WHO mission in the country and asked for clarification on claims regarding ebola. The WHO representative in the country Dr. Tigest Ketsela Mengestu, emphasizes that her organization has not made those claims, and that, it does not have any evidence regarding ebola case. Moreover, in case the organization

UBALOZI Umeanza Rasmi Kupokea Maombi ya Pasipoti Za Kielektroniki

Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuwatangazia raia wa Tanzania waishio katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine kuwa mfumo wa maombi ya Pasipoti mpya za kielektoniki umekamilika kufungwa Ubalozini, na tayari ubalozi umeanza rasmi kupokea maombo ya pasi mpya kutoka wa watanzania wanao ishi katika eneo lake la uwakilishi. Tafadhali soma barua rasmi ya

Pasipoti Mpya Za Kielektroniki Ubalozini

PASIPOTI MPYA ZA KIELETRONIKI Ubalozi wa Tanzania – Stockholm uko katika matayarisho ya kuanza kupokea maombi ya pasipoti mpya kwa Watanzania waishio katika eneo lake la uwakilishi. Mh. Balozi Slaa amekuwa mmoja waliowakilisha maombi katika hatua ya kufanya majaribio ya mtambo. Pia mafunzo kwa wafanyakazi wa Ubalozi yanaendelea kutolewa na watendaji wa Uhamiaji Makao Makuu.

39th Southern African Development Community Summit

The United Republic of Tanzania was proud to host The 39th Ordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC) which was held at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam, on the 17th and 18th August 2019. Summit was attended by 16 Heads of State

Swahili International Tourism Expo-Dar es Salaam Tanzania

The Tanzania Tourist Board is extending this invitation to tour operators and the press in the Nordic and Baltic States to attend the Expo as a Hosted/semi Hosted Buyer.  The Embassy is responsible for short listing participating companies from the Nordic. We will therefore be happy to receive an email showing your interest to participate

Diaspora Chambers at Work

After the Tanzania Diaspora Investment Conference which was held on 9 -10 April 2019 in Sweden, the established Chambers of Commerce have started work on promoting trade and investment in Tanzania. The Tanzania Diaspora Council – Global (TDC – Global) leaders has been in touch with prospective investors and business people. They have been holding

Wataalamu wa Wakala wa Majengo Watembelea Ubalozi

Ubalozi wa Tanzania ulipokea wageni ikiwa ni Timu ya Wataalamu toka Walaka wa Majengo Tanzania tangu tarehe 29 May 2019 hadi tarehe 8 Juni 2019. Timu hii iliyotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuja kuendelea na hatua za kutayarisha mpango wa kujenga na kurekebisha majengo yanayomilikiwa na Serikali

Vitambulisho Vya Taifa Kwa Diaspora

Ubalozi umepokea taarifa toka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) kuhusu usajili wa watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora). Mamlaka imemteua Bi.Rose Mdami kuwa afisa atakae shughulikia masuala ya diaspora ndani ya mamlaka ya NIDA. Dawati hili litatoa huduma kwa haraka kwa diaspora katika jengo la Magereza lililopo katika barabara ya kivukoni mjini Dar es

Dealing With Corruptions On Business In Africa

BREAKFAST SEMINAR ON DEALING WITH CORRUPTION WHEN DOING BUSINESS WITH AFRICA On 7th May 2019, Stockholm Chamber of Commerce in collaboration with Swedish Sub Saharan Africa Chamber of Commerce organised a breakfast seminar on “Dealing with corruption when doing business with Africa”. The meeting addressed corruption in public and private sectors and how businesses entering new markets

SHEREHE ZA UHURU – DIASPORA FINLAND

Balozi, Mh. Willibrod Slaa alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya Miaka 57 ya Uhuru Tanzania tarehe 8/12/2018 iliyoandaliwa na wanajumuiya ya Watanzania, Finland

E-VISA and E-PERMITS

Tanzania launches Electronic visa and residence permit services Foreigners can now apply for an Online Visa and Permits for their visit or longer stay in visit the United Republic of Tanzania (both Tanzania Mainland and Zanzibar). Currently, visitors who can make electronic applications are only those entering Tanzania through the following 5 Entry Points; Julius

didn't find what you are looking for?

search again