Raia wa Tanzania mwenye pasi ya zamani hataruhusiwa kusafiri nje lakini anaruhusiwa kurejea nyumbani kwa kutumia pasipoti hiyo baada ya tarehe 1 Februari 2020.
Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe: Makau Makuu Uhamiaji: passporttanzania@immigration.go.tz au Ubalozi wa Tanzania Sweden: consular@tanemb.se