Certificate of Good Conduct/Police Clearance

Please note that the Embassy does not issue Police Clearance Certificates because thay have no access to “Criminal Records”. The Embassy provides information on how to apply.

You are therefore advised to proceed as follows:

 1. Get your local police to fingerprint you and
 2. Attach a letter requesting a “Certificate of Good Conduct” from the applicant or institution requesting the certificate. The letter should provide details of the place you last resided while in Tanzania showing name of district, name of town, street name (if available) and house number.
 3. Attach a copy of your passport, a photocopy of the page containing personal particulars.
 4. Attach two recent passport size pictures
 5. Attach proof of 25 USD payment (plus overseas charges & Bank clearance charges). This a fee charged by NBC Tanzania, therefore you will be responsible for the overseas & other bank charges.

Payment must be sent to: NBC Bank A/C No: 011105003888
ACCOUNT NAME: POLICE FORCE RETENTION COLLECTION ACCOUNT
BRANCH NAME: NBC (CORPORATE BRANCH)
SWIFT CODE: NLCBTZTX

The letter, fingerprints and attachments must be sent by DHL to the following address:

Director,

Criminal Investigation Department 

Forensic Bureau

9 Ghana Ohio Road
P.O. Box 9094
11483 DAR ES SALAAM
TANZANIA

Tel: +255 22 211006, 2118637, au +255 754 827940.

Please note:

 1. The process at the Forensic Services starts after receiving the service payment and takes not less than 7 days. Please indicate telephone and email address at which the applicant will be notified of the successful issuing of the certificate and communicate on means by which it will be returned to him/her at his/her cost.
 2. If you are required to have the police certificate authenticated you should send it or bring it personally to the Embassy. The Embassy will in turn seek a formal verification from concerned authorities in Tanzania. Please send a receipt for this service SEK 200 and postage SEK. 120 (for Sweden) and SEK. 150 for other countries)

*If you have any problems after sending the application please do not hesitate to contact the Embassy for help.

Hati ya Polisi ya Tabia Njema

Ubalozi hautoi Hati ya Tabia Njema kwa kuwa hawana Rekodi ya Uhalifu. Ubalozi unatoa maelezo tu ya namana ya kupata hati hii. Ili kupata Hati ya Polisi ya Tabia Njema (Police Clearance Certifiate) toka Tanzania hatua zifuatazo zinatakiwa kufuatwa.

 1. Mwombaji atatakiwa kwenda katika kituo cha Polisi kilichoko karibu naye ili achukuliwe alama za vidole (Certified Fingerprints). Ambatanisha:
 2. Barua ya maombi kupatiwa hati hii ya tabia njema. Barua ieleze mtaa, namba (kama ipo) /mji/wilaya/mkoa ulioishi ulipokuwa Tanzania.
 3. Nakala ya hati yako ya kusafiria (passport) ikionyesha jina lako sehemu iliyotolewa na tarehe itapoisha muda wake.
 4. Picha 2 za pasipoti
 5. Karatasi halali zenye alama za vidole – zikiwa na jina, muhuri na sahihi ya afisa aliyechukua
  Vitu hivi vyote vitume moja kwa moja kwa
 6. Ushahidi (risiti) ya kulipia huduma ya kutayarisha hati pale CID Dar es Salaam ambayo ni USD 25 pamoja na gharama za benki za kutuma katika akaunti ifuatayo:

NBC Bank A

Account No. 011105003888

Jina la Akaunti: Police Force Retention Collection Account

Tawi: NBC (Corporate Branch

Swift Code NLCBTZTX

7. Kisha tuma pamoja na viambatanisho vinavotakiwa kwa DHL;

Director,

Criminal Investigation Department Headquarters

Forensic Bureau

9 Ghana Ohio Road
P.O. Box 9094
11483 DAR ES SALAAM
TANZANIA

Simu: +255 22 211006, 2118637, au +255 754 827940.
Muhimu:

 1. Matokeo ya uchunguzi wa taarifa za masuala ya makosa ya jinai (criminal record) hutolewa siku saba baada ya kupokea malipo na kuituma hati hiyo ya tabia njema kwa mwombaji. ukionyesha simu na anuani yako ya barua pepe ili baada ya cheti kutolewa uweze kuarifiwa na kutuma tena DHL kwa gaharama zako wasafirishe cheti kwako.
 2. Ikiwa cheti kitatakiwa kuthibitishwa kitumwe/kiletwe Ubalozini na risiti ya malipo ya huduma hii ya SEK 200 pamoja na gharama za kutuma SEK 120 ( Kwa Sweden) na SEK 150 ( kwa nchi zingine za Nordic na Baltic). Ubalozi utahitaji kuthibitisha kwanza kama Cheti kimetolewa na mamlaka halali Tanzania.

*Ikiwa kuna matatizo baada ya kutuma ombi hili, mwombaji anakaribishwa kuwasiliana na Ubalozi kwa msaada.