Wataalamu wa Wakala wa Majengo Watembelea Ubalozi

Ubalozi wa Tanzania ulipokea wageni ikiwa ni Timu ya Wataalamu toka Walaka wa Majengo Tanzania tangu tarehe 29 May 2019 hadi tarehe 8 Juni 2019. Timu hii iliyotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuja kuendelea na hatua za kutayarisha mpango wa kujenga na kurekebisha majengo yanayomilikiwa na Serikali ya Tanzania na yanayotumiwa na Ubalozi wa Tanzania hapa Sweden. Timu hii ilifikisha matayarisho haya katika hatua nzuri ikiwa ni pamoja na kuweka ratiba ya utekelezaji.

Katika Picha ya pamoja na Mh. Balozi Slaa ni Bw. Edward Ngowi (Mkuu wa Msafara), Bi Matapuli Juma, Bw. Daniel Mwakasungula Bw. Mohamed Mohamed na Wafanyakazi wa Ubalozi Bw. Matiku Kimenya, Bi Prosister Swai, Bi Joyce Malipula na Bi Agnes Mwaiselage

Share This Post

More To Explore

Vice President Visit to Stockholm

The Vice-President Of The United Republic Of Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango Attends Stockholm+50′ Conference Read more…

Fursa Ya Uwekezaji Wa Nyumba Kwa Diaspora

Ubalozi unapenda kuwajulisha kuhusu fursa ya uwekezaji wa nyumba chini ya mradi uitwao Hamidu City Park uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaomilikiwa na Bw. Hamidu Hemed Mvungi, una eneo lenye ukubwa wa ekari 140 ambalo lina nyumba 120 hivi sasa, zinazouzwa kwa gharama ya kuanzia Dola za Kimarekani 57,000 hadi 140,000. Kwa

Karibu Tanzania

The land of Kilimanjaro