JUMUIA ZA WATANZANIA/WANADIASPORA

Kuna jumla ya Jumuia 19 za Watanzania katika nchi zetu za uwakilishi kama ilivyoorodheshwa hapa chini. Nchi za Baltic Watanzania ni wachache sana, Ubalozi hawana taarifa za jumuiya ramsi na hawatumii sana huduma za Ubalozi. Isipokuwa hivi karibuni Watanzania waishio Ukraine hasa wanafunzi wa Vyuo vikuu.