Jinsi Ya Kupata Pasi Yako Toka Ubalozini

Ili kufahamu endapo Pasi ama cheti chako kimewasili ofisi za ubalozi. Unaombwa kujaza fomu iliyo katika ukurasa huu, na ubalozi utawasiliana nawe kukupatia taarifa kuhusu nakala yako.

Utaratibu huu ni kunaendana na muongozo wa sheria ya General Data Protection Regulation (GDPR) ya usalama wa taarifa binafsi za watumiaji wa huduma za kimtandao. Hivyo kuanzia sasa orodha ya majina ya wenye nakala zao, hayatakuwa yakiwekwa wazi kwenye tovuti ya ubalozi kama ilivyo kuwa awali.

Gharama za posta

Ili kutuma pasipoti au cheti  kwa waombaji kuna gharama ya Posta SEK 200 ambayo ni tofauti na ada ya pasipoti/cheti iliyolipwa Uhamiaji. Gharama hii ya Posta iwekwe kwenye akaunti ya Ubalozi iliyopo kwenye ukurasa huu.

Ukiisha lipia tafadhali ambatanisha risiti yako katika fomu hii. 

Akaunti Ya Malipo ya Gharama Za Posta 

Account Number: 103 7471-8

Malipo nje ya Sweden
Bank Identification Code (BIC/Swift)
Address: NDEASESS
IBAN: SE2895000099604210374718 (usiache nafasi).

Ili kutuma pasipoti au cheti mpya kwa waombaji kuna gharama ya Posta SEK 200 ambayo ni tofauti na ada ya pasipoti/cheti iliyolipwa Uhamiaji. Gharama hii ya Posta iwekwe kwenye akaunti ya Ubalozi:

Kwa malipo ndani ya Sweden: Account Number (Plus Giro Nr.) 103 7471-8.

Malipo nje ya Sweden: Bank Identification Code (BIC/Swift) Address:N NDEASESS International Bank Account Number (IBAN): SE2895000099604210374718 (usiache nafasi).

Ukiisha lipia tafadhali ambatanisha risiti yako katika barua pepe inayoomba kutumiwa pasipoti yako mpya/cheti iliyopokelewa na Ubalozi kwa kutumia Email: consular@tanemb.se ukionyesha jina na anuani yako kamili.

Orodha ya Wenye Pasipoti na Vyeti Ambavyo Havijachukuliwa Ubalozini.

PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA TAREHE 07 DESEMBA 2020

 1. JOYCE HOLGERSSON
 2. PHILIPO K. MOLEL
 3. MARY KASANDA IRANGI
 4. BERNARDINA BERNADO BYONTABANZA

PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA TAREHE 10 NOVEMBA 2020

 1. FAUDAT KIBWANGA
 2. KELVIN LEMA

PASIPOTI ZILIZOPOKELEWA TAREHE 20 OKTOBA 2020-10-20

 1. JAMILAH ULINDA
 2. FAIZA ALLY
 3. MARY AMBROSSY
 4. ZACHARIA SEBUYOYA
 5. FRED SEBUYOYA
 6. MOHAMED BOHERO
 7. ALLY ALLY
 8. REENA CHOUHAN – cheti 

 1. JONAS ATHANAS MAUKY
 2. MATUBILA KABEZA MFAUME
 3. FATIMA MUJA ENGLUND
 4. RAIYA KABEZAMFAUME
 5. MWAJUMA MASANJA BUNDALA
 6. MAGRETH ZABLON MMARI
 7. GETRUDA TANZANITE MMARI
 8. ASHA SAID ALLY
 9. CHRISTOPHER ANTHONY MWANYIKA
 10. TAMIM AWADH MOHAMED
 11. ZAIDI KABEZA MFAUME
 12. KABEZA MFAUME TOFFIKI
 13. UMAYR SWAHILI MPILI
 14. RAHAMA ZAIDI MZEE
 15. MFAUME KABEZA MFAUME
 16. AMANDA SMITH PEDERSEN
 1. YAHYA MUSSA OMAR
 2. RAMADHANI KESSY
 3. HELLEN NAMDORI KINENEKEJO
 4. CATHERINE NONDI
 5. JOYCE POUL MADOLE
 6. FESAL RASHID HASSAN
 7. ISAAC NAZARETH MWAMGOGWA
 8. IBRAHIM ALLY JAMBIA
 9. MERCY MWESIGWA LUKAZA
 10. MARTIN MPELI SHEKILANGO NELSON
 11. EMMANUELA FURAHA MSUYA
 12. MSHUNGA MSABILA LUNDSTROM
 13. IKUPA REHEMA SHEKILANGO
 14. SAMIRA TAYLOR MUSHENDWA
 15. SELESTINA MTEMISI LUENA
 16. LUJUO JUMA MJANJA
 17. ANDREA EMMANUEL SAPULA
 18. LAWRENCE CLEMENCE NGOWI
 19. NEWRICK NDYAMUKAMA HERMAN
 20. CREDO DUNCAN MWAIPOPO
 21. NASSOR SAID ALI
 22. HASSAN ISSA HAJI
 23. NURU AIDAN SILIKALE
 24. KAMILAH MOHAMED MBONDE
 25. MOHAMED RASHID MBONDE
 26. ELION OSIIME DANIEL
 27. SAUMU RAJABU MSOPHE
 28. ELIZABETH MENRAD MLELWA
 29. DERMAN HASSAN BEX
 30. SOPHIA OLE DUEHOLM
 31. HUMPHREY RICHARD RWECHUNGURA
 32. AIDAN MOHAMED MBONDE
 33. SAMWEL MOSES NTAPANTA
 34. FRICH ALBERT CURRUSA
 35. ARIEL HEAVENS DAVID
 36. JOSEPHINA KOKUKWANGULA NSHUNJU
 37. JACQUELINE NYGARD PASCAL
 38. TUMAINI DAVID MBAGA
 39. DORICE GOMEL MAZENGO
 40. ELIZABETH WEMA DANIEL
 41. CHAKA CLEOPHUS HONGOKE
 42. ALOYCE ANGELO FUNGA FUNGA
 43. AZIZA DASTANY KITILA
 44. LILIAN MOSES PALLANGYO
 45. AILEEN ALBERT TEFFE
 46. ROSE FICK TOWO
 47. LULU JOSEPHINE FRANCIS GUMBO
 48. ROSE LEONARD KIMARO
 49. SCOLASTICA KUSOYA SCHMIDT
 50. KENETH RAFAELI KIMARO
 51. HERMENEGILDA RICHARD RWECHUNGURA
 52. HOSEA RICHARD RWECHUNGURA
 53. ABDALLAH GHARIB ABDALLAH
 54. SUNDAY NGAKAMA MPANDUJI
 55. MELISSA NJUHI NDUGU
 56. FAHAD MOHAMED AL ABRI
 57. HUBERTRICHARD RWECHUNGURA
 58. NORA FESAL SOE MYA
 59. JADIDA HUSSEIN KICHWABUTA
 60. JOAVINHUSSEIN HOBA
 61. ANNA MARIA ANTONY GRASSI
 62. ROSE EDIMONDI LUNDBERG
 63. MWANAISHA JUMA KHERI
 64. MARGARETH PAUL HVIDAGER
 65. DALILA MFAUME ABDALLAH
 66. HAPPINESS KEMILEMBE STALIN
 67. SARAH LEONARD KATABAZI
 68. GROLIA ALBERT JIMWAGA
 69. MARIAMU MOHAMED SAID